Steav Kafire akiwa tayari kugawa chakula kwa wahusika.
Ni wakati wa mpunga.Mwenyekiti wa makampuni ya IPP ndiye alikuwa wa kwanza kuanza kugawa chakula kwa walemavu ndio vijana wake wakafatia.
Watu mbali mbali walijitokeza katika mnuso huo Prof Jay, Michuzi na Ay.
Vyombo mbali mbali vya habari vilihusika pia.
Mh. Waziri mkuu Mizengo Pinda ndio alikuwa mgeni rasmi.
Michuzi, Lady Jay Dee, Mwasiti na Marlaw wote walihusika pia.Huyu ni shabiki wa Diamond alipata nafasi ya kumuona live ikabidi asogee karibu ili kupiga naye story.
Binti Machozi na anko Michuzi.
Tid akiongea na EATV.