Huu ni mfano poa sana kwa waandaaji wengine wa movie hapa bongo kwa kukubali kutumia gharama na muda kwa ajili ya kutengeza vitu vizuri kama hivi hii ni moja ya cover ya filam ya bongo inayo vutia sana hongera kwa wahusika.
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
-
Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wenye umri wa
kwenda shule mlo wa asubuhi kabla hawajaenda shule. Rai hiyo imetolewa na
Mkurugenzi...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment
,