
Rihanna alifanya tamsha hilo la funga mwaka wiki iliyopita katika hotel moja huko Abu Dhabi na kwa mujibu wa mapaparazi walikuwa wameongozana na mchizi.
Tangu Rihanna atengane na Chris Brown Februari mwaka jana amekuwa akihusishwa kuwa na uhusiano na mastaa kadhaa akiwemo Justin Timberlake pamoja na mcheza filam Tristan WIlds , hata hivyo yeye amekuwa akikanusha.
No comments:
Post a Comment
,