.

Monday, January 4, 2010

TAIFA STARS YAKOMAA TOFAUTI NA WENGI WALIVYODHANI.

Nadir Haroub alihakikisha anakomaa kiume ili Drogba asilete madhara zaidi.

Kipa Mwalami wa Taifa Stars alikuwa na kibaruwa kigumu kuhakikisha ulinzi wa goli letu unakuwa wa uhakika wakati wote.
Mchezo huo uliisha kwa Taifa Stars kufungwa goli moja na Ivory Coast goli lililofungwa na mshambuliaji hatari wa timu hiyo Didier Drogba.

No comments:

Post a Comment

,