PLANET BONGO KILA JUMAMOSI SAA NNE ASUBUHI EAST AFRIKA RADIO NA KILA JUMA TANO SAA TATU KAMILI USIKU EATV.
KUWA MAKINI
TULIA NA MMOJA UNAYE MPENDA, ACHA NGONO ZEMBE
POWER JAMS
POWER JAMS,JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 10 ALASIRI EAST AFRICA RADIO.
MATING'A
DEEJAY AD a.k.a MAFUVU.
KUTANA NA DEEJAY AD KWENYE POWER JAM KILA J.3 NA ALHAMISI (1:00 - 4:00 pm), THE CRUISE J5 (8:00-9:00 pm), PLANET BONGO JUMAMOSI (10:00 - 12:00 pm) & FNL. NDANI YA EAST AFRICA RADIO & TV, TING'A KALI NAMBA MOJA KWA VIJANA
...BATA NITE!!!
SAUZ...2010!!!
Monday, January 25, 2010
MUDA SIO MREFU TUTAMUITA MAMA NANILIU..
Msanii nyota maunda zorro anaujauzito, bishosti huyo ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu anatarajia kujifunguwa mwishoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu. Hata hivyo maunda hajamuweka wazi kidume chenyee ujauzito huo, haya kila la kheri Maunda.
inapendeza sana Maunda that you are xpecting a baby soon and thats a truly womanhood,but r you ready to take care of your kid fully?make sure you kid is the centre of your universe,dont leave your kid for music never,by the way am xpecting mine June this year,BURHAN
UBALOZI WA TANZANIA UJERUMANI WAPONGEZWA
-
NA. MWANDISHI WETU BERLIN – UJERUMANI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, na Uratibu, Mhe. Ummy
Nderiananga (Mb) ameupongeza Ubalozi wa Jam...
NI WEWE KAMPENI, MAENEO YA ITUNUNDU PAWAGA JANA
-
Ni Wewe ni kampeni iliyozinduliwa na redio Ebony FM iliyoko Nyanda za juu
kusini, ikiwalenga zaidi wananchi wa vijijini ambao miundo mbinu ya umeme ...
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
inapendeza sana Maunda that you are xpecting a baby soon and thats a truly womanhood,but r you ready to take care of your kid fully?make sure you kid is the centre of your universe,dont leave your kid for music never,by the way am xpecting mine June this year,BURHAN
ReplyDelete