
Huyu jamaa anaitwa Adili Mkwela baada ya kukaba katika upande wa video sasa m2 mzima anageukia upande mwingine wa pili ni katika movie kupitia production yake ile ile ya Chapakazi Filimz na tayari ameshatengeneza filam moja inaitwa Loleza ni filam mpya iliyochezwa na Mansu-li, Buff G na wengine wengi sooo...!!! tusubiri tuone...
No comments:
Post a Comment
,