.

Tuesday, January 5, 2010

HATUWA ZA MWISHO ZA ALBMA YA NYANDU TOZ..

Amethubutu kujiita 26# coz yy ni mtafutaji, ni mchizi kutoka kinondoni Hamidu a. k . a Nyandu toz yupo katika hatuwa za mwisho za kuskuma kitaa albam yake inayoitwa SIKATI TAMAA.

Nyandu amesema kabla ya kuachia albam hiyo zitaanza ngoma mbili moja audio na nyingine video zote kwa wakati mmoja, ya Video inaitwa WANA NIWINDA ambayo amegawa shavu kwa Chid benz, Mbamba na Beka 'B' na ngoma nyingine ya Audio inaitwa SIKATI TAMAA ndani yake unagumiana na Geez mabov, Blue na Beka 'B' na ngoma zote hizi zimegongwa na maneke

No comments:

Post a Comment

,