ikabidi niazishiwe doz ya malaria na kwa sasa nashukuru Mungu naendelea vizuri, pia nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sinto washukuru wale wote ambao walikuwa wakinipa pole katika kipindi hiko cha kuumwa ni Dj Choka, Moracka, Mangwea, Rado, Barut Boy, Dj AD na familia yangu nawashukuru sana na mungu awazidishie ASANTEN SANA.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago

Pole sana Kaka. Lakini twashukuru umeweza kurejea katika hatua ya kutujuvya maendeleo.
ReplyDeleteBasi uendelee kupona na kisha urejee "full" ndani ya MPANGO MZIMA wa PLANET BONGO.
Get well soon
Blessings