.

Wednesday, January 20, 2010

KITABU CHA BONGO FLAVA KINATIMBA KITAANI..

G Sollo ni moja kati ya wanamuziki wa hip hop bongo na pia ndio mwaandishi wa kitabu kipya kinachohusu ishu za bongo flava, Kitabu hicho kinaitwa HARAKATI ZA BONGO FLAVA NA MAPINDUZI.

G Sollo ameamuwa kuandika kitabu hicho ili kuelezea athali za muziki huu wa bongo flava pamoja na faida zake kiujumla tofauti na hilo kitabu hicho pia kina barua maalum ambayo ameamuandikia mh. Rais.

G Sollo ameniambia kitabu chake kipo katika matayarisho ya mwisho na tarehe tano ya mwezi wa pili kitakuwa mtaani kwa ajili ya kuwapa raia nafasi ya kuufahamu vizuri muziki huu wa bongo flava

2 comments:

  1. kuna umuhimu wa kulifanya hili na ndio maana wasanii wanaumiza vichwa vyao kuangalia ni lipi wanaweza kufanya ili kuusukuma mbele huu muziki wetu wa kizazi kipya.

    ReplyDelete

,