.

Monday, January 4, 2010

MAN X RASMI TMK MAJITA..

Unamkumbuka Man x mchizi aliyekuwa anafanya poa sana katika muziki wa kikzazi kipya kipindi hiko jamaa anatokea Temeke na hatuja msikia kwa muda mrefu sana katika muziki huu.

Lakini kwa sasa ameamuwa kurudi rasmi na kujiunga rasmi na kundi la TMK MAJITA ambapo kwa sasa wapo mbioni kutoa albam yao paomoja singo itakayo rudisha rasmi kundi hilo katika game ya bongo flav.
Hawa ndio TMK MAJITA.

1 comment:

,