Wakazi wa Lindi Waendelea kusherehekea Mwaka Mpya na Makapu ya Vodacom.
-
Afisa wa Vodacom Feruzi Mlaponi ( Kulia) akiwa na mteja wa kampuni hiyo
Said Kikotokeki, baada ya kumkabidhi kapu la Vodacom. Tukio hili
limefanyika ikiwa ...
34 minutes ago

wacha mie nimalizie hapo kwenye tittle
ReplyDelete.....ILA NAJIULIZA SASA HIVI YUKO WAPI, ANAFANYA NINI NA ILIKUWAJE AKAKACHA MUZIKI? ATARUDI? KAMA NDIYO BASI NI LINI NA ATARUDI VIPI???
Blessings
mmh... hilo nalo swali.. muda mrefu sana hatuja msikia lakini nimepata fununu kuwa yupo Uganda anapiga book, natamani arudi tene na tuendelee kusikiliza ladha zake...
ReplyDelete