Msanii nyota maunda zorro anaujauzito, bishosti huyo ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu anatarajia kujifunguwa mwishoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu.
Hata hivyo maunda hajamuweka wazi kidume chenyee ujauzito huo, haya kila la kheri Maunda.
RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA
AFRIKA NCHINI UFARANSA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Wenyeviti Wenza, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre wa pili kutoka ...
1 hour ago
inapendeza sana Maunda that you are xpecting a baby soon and thats a truly womanhood,but r you ready to take care of your kid fully?make sure you kid is the centre of your universe,dont leave your kid for music never,by the way am xpecting mine June this year,BURHAN
ReplyDelete