Unamkumbuka Man x mchizi aliyekuwa anafanya poa sana katika muziki wa kikzazi kipya kipindi hiko jamaa anatokea Temeke na hatuja msikia kwa muda mrefu sana katika muziki huu.
Lakini kwa sasa ameamuwa kurudi rasmi na kujiunga rasmi na kundi la TMK MAJITA ambapo kwa sasa wapo mbioni kutoa albam yao paomoja singo itakayo rudisha rasmi kundi hilo katika game ya bongo flav.
INEC YAENDESHA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KWAHANI ZANZIBAR
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs
Mwambegele akifungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la
Kwahani lil...
4 minutes ago
underground....LOL
ReplyDelete