Mwanamuziki kuoka nchini Kenya Mwanaisha Abdallah maarufu kama Nyota Ndogo anatarajia kuanza kuingia katika kazi ya utangazaji kwa mara ya kwanza baada ya kuwa muimbaji kwa miaka kumi.
Mwanamuziki huyo anatarajiwa kuwa ni miongoni mwa watangazaji wapya wa radio hiyo mpya nchi Kenya ya masafa ya FM.
Nyota ndongo ameonekana katika jengo la Cannon Tower ambapo ndipo zipo ofisi za Radio hiyo mpya akitoka kujifunza namna ya kutumia vifaa vya studio, na inasemekana yeye pamoja na watangazaji wengine wapya watatambulisha rasmi mwezi Desember.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
14 hours ago
No comments:
Post a Comment
,