Mchizi ambaye amebarikiwa vipaji na Mungu kwanza ni bonge la Mtangazaji na hata kama ukimuweka katika uigizaji anababuwa mbayaaaaa.... Niamini mimi, Benny Kinyaiya kwa muda mrefu sana alikuwa haonekani katika runinga kama mtangazaji ishu iliyo sababisha mashabiki zake kulalama kuhusu hilo lakini kwa sasa mchizi amewataka mashabiki zake kuelekwza macho yao kwenye CHANNEL TEN katika kipindi chake kinachoitwa Full Vipaji ambacho hurushwa hewani kila jumapili kuanzia saa 11:30 na kurudiwa jumatatu saa 7:30 mchana.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment
,