Hii ilikuwa ni usiku wa UTAKE pale Club Maisha ambapo raia walipata nafasi ya kuona show ya Friday Night Live kwa mara ya kwanza ikifanyika nje ya studio za EATV ilikuwa kama suprise kwa watazamaji wa EATV na haya ndio yalio jili usku huo.
Mtangazi wa kipindi cha Friday Night Live Jimmy Kabwe akiwa mzigoni na wageni wake hapo ilikuwa pale nje Club Maisha.
Kaka mkubwa naye ndani si unamjuwa... Prof Jay akiwa tayari kabisa kwa ajili ya makamuzi ya Friday Night Live.
Ngosha the Don kutoka Mwanza yaani Fid Q akiwa kwenye mauzo ya EATV nje ya Club Maisha.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment
,