Naitwa Abdallah Khamis Ambua nadhani utakuwa unanisoma kupita upande ule wa pili lakini hilo tulipotezee wana walikuwa wanaona tu ishu zinavyoendelea katika blog hii ya MPANGO MZIMA lakini wengi wao walikuwa hawajasanuka kuwa mm ndio ninao sukuma huo mzigo, kwahiyo kuanzia sasa sanuka na hii.
Nawapenda sana na karibuni sana katika MPANGO MZIMA ili tuendelee kupeana taarifa mbali mbali zinazohusu maswaala ya burudani. HUU NDIO MPANGO MZIMA.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
15 hours ago
nakupenda unavyotangazia your voice inavyotoka kama benzi fulani hivi
ReplyDeletehongera kwa kazi nzuri
misswhite from zenj
NAMI PIA NASHUKURU KWANZA KWA KUTEMBELEA BLOG YANGU NA PILI KUWA MSHABIKI WANGU KARIBU SANA KATIKA MPANGO MZIMA...!!!
ReplyDeleteDullah,mi nakuzimia ile mbaya,kuanzia ww mwenyewe mpka show yako,una swaga za kufa mtu,pamoja wa kiumeni!lyk yu...
ReplyDelete