Hawa ni wanajeshi kutoka chuo cha mawasiliano kutoka mgulani walitimba mzigoni kuangalia jinsi mzigo unavyosukumwa pande hizi...
Huyu anaitwa Nicky ni editor wa EATV akitowa maelekezo kwa mmoja wa askari walio kuja leo.
Wanaendelea kupokea maelekzo jinsi EATV inavyo fanya kazi zake.
Kila kinacho semwa inabidi kiandikwe kwa ajili ya kumbu kumbu.. ndicho kinacho fanyika hapo.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment
,