Hapa namzungumzia Chokoraa, Kalala Jr, Chaz Baba pamoja na Jose Mara. Hawa jamaa wanatoka katika band mbali mbali lakini wamegunduwa kwa umoja wao wanaweza wakafanya kitu kitakacho kuwa burudani kwa raia.
Leo ndio utakuwa utambulisho rasmi wa vijana hawa katika ukumbi wa Java Stereon - Kinondoni mlangoni utasalimisha buku tano tu. TID ni moja kati ya wasanii watakao toa taf kwa mapacha hao.
Washindi promosheni ya Twenzetu Dubai na Parimatch wapatikana, kupaa
Jumatatu kwenda Dubai
-
Washindi wawili wa promosheni ya Twenzetu Dubai na Parimatch inayoendeshwa
na kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch wamepatikana na watasafiri
Du...
1 minute ago
Asha baraka katibua dili
ReplyDelete