Kwa sababu hii ni familia mpya ilibidi kuwe na time ya kuongea nao na kuwakaribisha rasmi katika ulimwengu wa burudani kupitia EAST AFRICA RADIO pamoja na EATV.
Huyu ni mflme wa USWAZI anaitwa Mussa Hussein akitema madini kwa raia wa moshi ndani ya Club la Liga.
Ilikuwa ni time ya kuruka kopo kwa kwenda mbele pande zile za 93.4 ndani ya Moshi..
Unawezza kumuita mafuvuuuuu... akiwa mzigoni na jukumu ni moja tu kuhakikisha dance flow haikauki raia..
CPWAAAAAA.... alihusika poa sana na raia wa kaskazini mwa Tanzania hapa alikuwa akiongea mawili matatu kuhusu show yake aliyotoka kuifanya hapo yupo na Mussa mtangazji kutoka EATV.
CPWAAAA... hapo alikuwa analinda heshima ya jina lake kwa kupiga show ya kiutu uzima ndani ya Club la Laliga.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
15 hours ago
hello wakuu wa Mpango Mzima
ReplyDeleteBig Up sana kwa crew nzima ya EATV, nawapa wote pole waliomiss hyo show maana haijawahi kutokea Moshi na ndani ya club La Liga
Nilihudhuria hiyo show ilikuwa ya ukweli na uhakika na ilitendea haki wakazi wa Moshi
Ombi langu Kubwa nawaomba sanaa tena sanaa kwa heshima ya Kanda ya kaskazini Mrejee tena mybe Dec. Tunawapenda sna EATV na tunawakilisha pamoja sna
Karibuni snaaaa
Big Up Musaaa Mfalme wa uswazi na Dj Mafuvuuuu na Crew nzima