Bondia Mike Tyson amesekwa rumande kwa kosa la kumpiga ngumi mwandishi wa habari.
Tyson alikuwa akipigwa picha na paparazzi jijini Los Angeles akiwa na familia yake kitendo ambacho kilimkasirisha na kuamua kurusha ngumi.
Paparazzi huyo ilibidi akimbizwe hospitali kwa sababu alivunjika pua... huo ndio mkwaju wa bwana mkubwa Tyson na kama angekuwa bongo duh...!!! hospitali zingejaa kwa sababu najuwa bongo kwa picha tuuu hatu jambo.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment
,