Rapper DMX amejikuta katika matatizo mengine kwani kwa sasa anadaiwa kiasi cha dola millioni 1.5 za ushuru.
Mamlaka ya mapato ya jijini New York imefunguwa mashtaka dhidi ya rapper huyo pamoja na mkewe Tashera kwa kushindwa kulipa ushuru huo mnamo mwaka 2006.
Mbali na hapo rapper huyo anadaiwa kiasi cha dola 44,357 na dola 370,460
za ushuru kwa kushindwa kulipa mnamo mwaka 2005.
Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira
ya elimu nchini
-
Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB
imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu
nchini.
...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,