Kama unavyo juwa mwanzoni kulikuwa na utata kati ya Kallage na Matonya kuhusu maswala ya kazi kama unavyo juwa Kallage ni mtayarishaji wa video hapa bongo na Matonya ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa maana hiyo hawa jamaa kazi zao zinategemeana hapo ndipo utata ulipoanza na ilifikia hatuwa walikuwa wanaishi kma paka na panya.
Lakini kwa sasa utata wote kushinei jamaa wameelewana wapo poa sana na katika kuthibitisha hilo kesho tarehe 27 Matonya atafanya video yake ya wimbo wa MARIAM na mchizi Kallage. Lakini kwa mujibu wa Kallage mwenyewe amesema anataka kumalizana na wale wote aliowakwanza mwanzoni akiwamo Lady Jay Dee.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
12 hours ago
Hilo ndilo lililo jema kwa wote kutambua kuwa kazi zao ZATEGEMEANA na bila kuelewana hakuna anayeweza kusonga akijivunia maisha yake katika kazi hiyo.
ReplyDeleteNashukuru kuwa wameamua kuacha tofauti zao na pia twashukuru kuwa umeweza kuenzi uamuzi wao.
PamoJAH
Blessings
ss ndicho tunachohitaji Mzee wa Changamoto na Kallage hakupishana kauli na Matonya tu wapo wengi
ReplyDeletelakini hii ilitokana na kipindi kile yy alikuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba alishindwa kumaliza nyingine katika muda muaafaka lakini ameamuwa kuwaomba radhi wote na kuanza upya.