Ugonjwa homa ya mafua ya nguruwe unaosababishwa na na virusi vya H1N1, umeendelea kusambaa kwa macebreti duniani.
Mwanamuziki wa kundi la Boys II Men, Shawn Stockman imethibitika kuwa anauguwa ugonjwa huo, kwa mujibu wa habari iliyotolewa na wenzake Wanya Morris na Nathan Morris.
Wanamuziki hao wamesema kutokanan na Stockman kuuguwa ugonjwa huo wameshindwa kusafiri naye kuja Atlanta jumanne ya wikii hii ambapo kundi hilo lilialikwa kutumbuiza katika tuzo za Soul Train.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment
,