Hapa namzungumzia Chokoraa, Kalala Jr, Chaz Baba pamoja na Jose Mara. Hawa jamaa wanatoka katika band mbali mbali lakini wamegunduwa kwa umoja wao wanaweza wakafanya kitu kitakacho kuwa burudani kwa raia.
Leo ndio utakuwa utambulisho rasmi wa vijana hawa katika ukumbi wa Java Stereon - Kinondoni mlangoni utasalimisha buku tano tu. TID ni moja kati ya wasanii watakao toa taf kwa mapacha hao.
DKT. MPANGO ATOA MAELEKEZO 10 YA KUBORESHA SEKTA YA NYUKI, APONGEZA WIZARA
YA MALIASILI
-
Na John Mapepele.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor
Mpango ametoa maelekezo kumi yatasaidia kuimarisha sekta ya n...
1 hour ago
Asha baraka katibua dili
ReplyDelete