Baada ya kimya cha muda mrefu, Rihanna anatarajia kufanya mahojiano yake ya kwanza kwa mwaka huu toka tukio lake na Chris Brown litokee mapema mwaka jana. Rihanna anatarajia kufanya mahojiano hayo na watangazaji wa kipindi cha Good Morning America mwezi ujao. Mbali na mahojiano, bi shosti huyo aliyetamba na nyimbo kama Umbrella na Rehab anatarajia kuachia single yake ambayo pia inapatikana katika albam yake mpya mwishoni mwa mwezi ujao
FCC: MPANGO WA KUREKODI ALAMA ZA BIASHARA KUANZA DESEMBA 2025
-
*Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa,
akizungumza wakati akiwasilisha kwa chama cha mawakili cha International
Tra...
16 hours ago

No comments:
Post a Comment
,