FCC: MPANGO WA KUREKODI ALAMA ZA BIASHARA KUANZA DESEMBA 2025
-
*Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa,
akizungumza wakati akiwasilisha kwa chama cha mawakili cha International
Tra...
16 hours ago

Kaka Bukuku anatupa TASWIRA njema saana kwa hakika.
ReplyDeleteNamshukuru kila iitwayo leo na naamini ataendelea kuwa na afya njema na kuendelea kutuhabarisha, kutuelimisha, kutuonesha na kutupa kwa kila kila kitokeacho mbele ya kamera yake yenye shangwe tele
Kuwa kwenye kiota chake hunifanya niwe na FULL SHANGWE
Blessings