.

Friday, October 16, 2009

THE SOWERS GROUP WATIA TIMU BONGO..



Kundi lenye kuimba mahadhi ya injili kutoka DRC, The Sowers Group wako nchini Tanzania kwa ajili ya ziara iitwayo 'World Hope Tour'

Kundi hilo linatarajiwa kufanya onyesho la msaada jijini Dar es Salaam na fedha zitakazopatikana katika onyesho hilo wanatarajaia kuwapa watu wasiojiweza kifedha na matokeo yake huishia kukaa hospitali kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

,