.

Monday, October 19, 2009

SASA NI MUDA WA MASHAVU KWA MWANA.

Mshidi wa Tusker Project Fame kwa mwaka huu Alpha Rwangira.

Mshindi wa shindano la kutafuta vipaji vya kuimba, Tusker Project Fame Alpha Rwangira kotoka Rwanda amealikwa kufanya onyesho siku ya Kenyatta tarehe 20/10/09 nchini Kenya.
Onyesho hilo ambalo linatarajiwa kufanyika jijini Nairobi, litahudhuliwa na Rais Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga. Alpha ameondoka na kitita cha dola milloni tano baada ya kunyakuwa ushindi katika mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

,