.

Friday, October 23, 2009

KWA WAPENZI WA FILAM HAYA SASA..

Danny Glover akiwa mzigoni..

Muigizaji Danny Glover anatarajia kutuwa jijini Dar es salaam kwa ajili ya kongamano la kimataifa la waafrica waishio nchi za nje liitwalo 'Africa Home Coming'
Kwa mara yakwanza kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 25 hadi 30 mwezi huu. Haya waigizaji wetu wa Bongo Danny Glover anatimba Bongo je mnafahamu....?????

No comments:

Post a Comment

,