.

Monday, October 26, 2009

BI MKUBWA ALAMBA SHAVU...

Mwanamuziki mkongwe Yvonne Chaka Chaka amechaguliwa kuimba wimbo utakao kuwa unatumika kama wimbo rasmi wa kombe la dunia litakalo fanyika mwakani nchini Afrika Kusini.
Wimbo huo utatumika zaidi katika kushangilia nchi kama Ghana na Cote d'Ivoire ambazo zimefuzu kuingia katika michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment

,