.

Thursday, October 22, 2009

MKWAJU MWINGINE KUTOKA KWA MARLAW.

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya bep bep mchizi kutokea pande za Iringa mjukuu wa Madole unamsoma kama Marlaw ameachia mpini mwingine mpya baada yangoma yake ya bep bep mzigo unaitwa BIDII ni ngoma ambayo inayo hamasisha kujituma zaidi katika maisha ili kupata mafanikio lakini hayayote hayawezekani kama hakuna BIDII, Makochali kutoka Mj Record ndio aliye chonga mpini huo... Sikiliza PLANET BONGO on East Africa Radio jumamosi hii saa 4 kamili asubuhi iliuweze kuisoma poa.

No comments:

Post a Comment

,