.

Friday, October 23, 2009

MAMBO YAKIENDA KICHINA HUNA BUDI...


Muigizaji Eddie Murphy naye amekutwa na mmomonyoko wa uchumi imebidi apunguze bei ya kuuza nyumba yake ambayo alikuwa anampango wa kuiuza dola millioni 30 na kwa sasa kaamuwa kuiuza dola millioni 15.. duuuuuh...!!!! Muigizaji huyo ameiweka nyumba hiyo sokoni takribani miaka mitano iliyopita lakini imebuma kupata kichwa cha kununuwa. Dah...!!! kweli kimenuka mtikisiko huu unawabana hadi mastara, lakini usikonde Eddie Murphy 'MPANGO MZIMA ' itakutafutia wateja fastaaaaa....

Huyu jamaa bwana me huwa ananiacha hoi sana na mambo yake sa ndio nini hivyo...???? mh....!!

No comments:

Post a Comment

,