
Mmoja wa waimbaji kutoka kundi la Black Eyed Peas, namzungumzia Fergie anatarajia kuzinduwa manukato ya kike ambayo yataanza kupatikana kuanzia mwakani. Kampuni ya Avon imetoa nafasi kwa mwanadada huyo kubuni aina ya manukato ayapendayo. Manukato hayo yataanza kuzinduliwa sehemu nyingine duniani kabla ya kuzinduliwa rasmi nchini Marekani.

No comments:
Post a Comment
,