PUMA ENERGY TANZANIA YACHANGIA MITUNGI YA GESI KATIKA UZINDUZI WA MBIO ZA
MWENGE WA UHURU WILAYANI MKURANGA
-
Puma Energy Tanzania imeshiriki katika shughuli za za Mbio za Mwenge wa
Uhuru katika Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani, ambazo ziliongozwa na
Waziri...
24 minutes ago
Kuna ukweli mkubwa katika hili.
ReplyDeleteTunahitaji UMAKINI ILI KUWA NA UFANISI na haijalishi ni kazi gani. Tumekuwa na kasumba ya watu kuweka madaraja ya kazi ambazo zinastahili kuwekewa umakini na kuheshimika na nyingine wanazisharau. Hii si sahihi. Nililogundua ni kuwa kazi nyingi ama niseme zote zina umuhimu saaana na zikipewa umakini na ufanisi na heshima kama zinavyostahili, basi tutaona nchi na jamii yetu ikinyookewa zaidi. Mfano ni kazi ya uchomeleaji vyuma ambayo kwa Tanzania yangu ni kazi ya "kijiweni" lakini kwa hapa Marekani ni kazi inayoheshimika na kupewa hadhi ya juu na huifanyi kama hujawa CERTIFIED. Ni sawa na kazi ya uzoaji taka na hata Upishi.
Kwa hiyo nakubaliana nawe 100% kuwa KAZI YOYOTE YAHITAJI UMAKINI SANA ILI KUIFANYA KWA UFANISI
Nimefurahi kutembelea hapa baada ya kukuona kuleee kwa Da Aggie wa "Kiduchu"
Tupo PamoJAH
MZUKA SANA KAKA MKUBWA TUPO PAMOJA MZEE WA CHANGA MOTO NA NAAMINI UTAENDELEA KUTOWA CHANGAMOTO ILI KUONGEZA CHAHU YA MAFANIKIO YA KITU FULANI.. KARIBU SANA NA UNAKARIBISHWA TENA NA TENA NA HUU NDIO MPANGO MZIMA..
ReplyDelete