.

Thursday, October 15, 2009

FAINALI ZA BONGO STAR SEARCH ( BSS )


Kwa mara pili ndani ya mwezi huu, Mkoa wa Mwanza umeendelea kutesa katika anga za burudani, baada ya juzi usiku mshiriki wake kwenye shindano la kusaka vipaji la Bongo star search BSS, Pascal Cassian kuibuka kidedea....

Kutokana na ushindi huo cassian alizawadiwa mfano wa hundi yenye thamani ya sh mil. 25 kutoka kwa wadhamini wakuu Vodacom Tanzania, pia alipata sh mil. 1.5 kutoka Ishi kutokana na kushinda wimbo bora wa ukimwi na sh 500,000 toka Mariedo Boutique.

No comments:

Post a Comment

,