
HAND SOME WA ILALA PIA UNAWEZA KUMUITA MR MISIFA DULLY.. ALIKUWA ANACHONGA NA MM KUHUSU NGOMA YAKE YA SHIKIDE NA KUNA
JAMBO MOJA ALINIAMBIA KUHUSU VIDEO YA WIMBO WAKE WA SHIKIDE. ALINIAMBIA WAKATI ANARECORD NGOMA HIYO ALIKUWA
HANA MPUNGA (PESA) WA KUFANYA VIDEO LAKINI MAMA YAKE MZAZI NDIO ALIMUWEZESHA KUFANYA VIDEO HIYO KWA KUMLIPIA KWA ADAMU WA VISUAL LAB......
No comments:
Post a Comment
,