Huu mzigo utasababishwa tarehe 31 oct. kuanzia mida ya saa mbili usiku kiwanja ni kile kile cha kila siku pande za upanga Diamond Jubilee, Mzuka utasababishwa na Mrisho Mpoto, Professor Jay, Fid Q, TMK Wanaume Halisi pamoja Zahrbat Hip hop kutoka France.... Huu ndio Mpango Mzima.
Kumbuka tu mzigo huu umedhaminiwa na EAST AFRICA RADIO pamoja na EAST AFRICA TV.
WANAFUNZI WA KIMATAIFA CHUO KIKUU MZUMBE WAWASILISHA MATOKEO YA TAFITI ZA
AWALI KUHUSU MAJI, ELIMU NA USALAMA WA CHAKULA
-
Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Antwerp Ubelgiji na Chuo Kikuu cha Kikristu
cha Uganda ambao wapo katika programu ya kubadilishana Wanafunzi na Chuo...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,