.

Friday, October 16, 2009

BLUU 3 KUKISANUWA MWISHO WA MWEZI..



Kundi la Blue 3 linatarajiya kuzinduwa albamu yake mwishoni mwa mwezi huujiji kampala,

uzinduzi huo uliopewa jina la "BE FREE CONCERT" ambapo atakuwepo pia Dj Benny d Dj ambaye ameshafanya kazi na wasnii wakubwa wa kimataifa kama Akon na Wyclef Jean

1 comment:

  1. kak hawa wadada nawazimi kinoma ivi naomba uniambie yule mwanzao aliendaga wapi mpaka sasa ivi una mpya alafu yule bonge kapungua kapendeza jamani nisaidie nami nipungue kaka yangu bye. hongera usijali tutakupa shavu.

    ReplyDelete

,