
Unamfahamu malkia wa Bongo Movie huyu ni mwanaharakati ambaye yupo mstari wa mbele kutetea haki za wasanii wa maigizo nchini, namzungumzia bi shosti Joyce Kiria Nkongo, Sasa amegeukia katika harakati zingine za kuwa kombowa wanawake wa kitanzania, katika kipindi chake kipya kinachoitwa
'WANAWAKE LIVE SHOW' kipindi ambacho kitakuwa kinaongelea maswala mbali mbali yanayo wahusu wanawake kiujumla na pia atakuwa anafanya mahojiano na wanawake ambao wana maendeleo katika sekta mbali mbali ili kuweza kuwasaidia wanawake wengine kuweza kujiwezesha kama si kujikwamua kimaisha kwa namna moja ama nyingine.
hebu niambie kaka hii show inaonyeshwa TV gani na saa ngapi??
ReplyDeleteItakuwa EATV
ReplyDeletesiku bado sijajua
ila endelea kutembelea
mpango mzima ili
upate "mpango mzima utakavyokuwa"
si unajua tena speed 120 za dullah
hakosi kitu huyu mwana.
One tyme all the Best
One