.

Sunday, October 18, 2009

MR. MATONGE..


Ally Kiba ni moja kati ya wasanii wa bongo wenye mafanikio sana katika muziki huu wa Bongo Flava mchizi ambaye anasifika sana kwa ngoma za mapenzi tena zenye hisia kali, Pamoja na hilo pia ni masanii ambaye anaongoza kwakuwa na show nyingi nje ya nchi.

Kitaa saahii ishu imekuwa katika ngoma yake ya "USINISEMEE" anasema mwanzo watu ilikuwa ngumu sana kuielewa ile ngoma kwa jinsi ilivyo na hata yeye hakuwa anaipenda kiiiivyooo... lakini mwisho wa siku ndio ngoma ambayo imefanya poa sana katika game hili la Bongo Flava..
Kiba mpango mzima inakutakia kila lakheri katika safari yako ya muziki.

No comments:

Post a Comment

,