.

Wednesday, October 21, 2009

HUU NI MWEZI WA KULA BATA KINOMA NOMA..


Nisikilize mimi...... bata litaanza tarehe 30/10/2009 hii itakuwa kaskazini mwa Tanzania naizungumzia Arusha kiwanja ni Masai Camp mpango mzima ni kuwakaribisha rasmi wasikilizaji wa EAST AFRICA RADIO pamoja na EAST AFRICA TV (Channel 5).
Wana wataruka kopo pande hizo ni siku ya ijumaa, Baada ya hapo Bata litahamia pande za 93.4 fm MO TOWN.. Moshiiiiii..... wana watakinukisha pande zile zile umeshanisoma...????? niiiiii... Club Laliga hiyo itakuwa tarehe 31/10/2009 siku ya jumamosi.
Bata zote hizo zimebatizwa jina moja tu niiii... THE CRUISE PARTY. Na mwisho wasiku problem zako zote zinazohusu burudani zitamalizwa na mkali wa crank bongo.. CPWAAAAAA.... Unachotakiwa kufanya ni kitu kimoja tu.... JIPANGE MZAZI ALAFU TUONEEEEEEEE....!!!!

No comments:

Post a Comment

,