Radio na Weasel wamekuwa ni wasanii pekee kutoka Afrika Mashariki kunyakuwa tuzo ya Afrika Music Awards ambazo zimefanyika hivi karibuni jijini London. Wawili hao wameshinda tuzo hiyo ya wasanii bora kutoka Afrika Mashariki. Katika tuzo hizo wasanii wa Nigeria ndio wameongoza katika kushinda tuzo wakiwa wamekusanya tuzo nne na kufuatiwa na wasanii kutoka Egypt ambao walikusanya tuzo tatu.
DKT. MWIGULU AAGIZA UTHAMINI UKAMILISHWE, WANANCHI WALIPWE FIDIA KUPISHA
UWEKEZAJI
-
▪️︎ Ataka maandalizi ya eneo la ekari 50 kwa shughuli za kiuchumi za vijana
yaharakishwe
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kukamilishwa haraka kw...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment
,