Nilikufahamisha kuwa wasanii wa Bongo Flava pamoja na wangoma za asili watafanya show katika nchi tatu tofauti, ETHIOPIA,ADDIS ABABA na FINLAND (HELSINKI). Wasanii hao ni pamoja na Dudu Baya, Benjamini wa Mambo jambo pamoja na kikundi cha ngoma za asili kinaitwa Sanaa Sana, Sasa kimeshaanza kunuka pande za hukooooo.... Helsinki huu ni mwanzo tu bado wana vimeo zaidi na watarejea nyumbani tarehe 18 November.
DKT. MAULID - USIMAMIZI FANISI WA SHUGHULI ZA ELIMU NI CHACHU YA MAFANIKIO
KATIKA SEKTA YA ELIMU
-
8 Januari, 2026
Hayo yamesemwa leo tarehe 08 Januari, 2026 na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Maendeleo ya Uongozi wa Elimu – ADEM Dkt. Maulid J. Maulid alipoku...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment
,