Kwanza watanzania walidata na goma ya Bep bep ya Malrow ambapo ilifanya poa sana baada ya muda kijana kutoka pande za Kariakoo,Ally Kiba akaja kuongeza ladha zaidi alipo achia ngoma yake ya USINISEME katika style hiyo hiyo ya kiduku akaibuka tena kijana kutoka Dhahabu record dully akawapa raha raia kwa ngoma yake ya SHIKIDE, Sasa swali linakuja nini maana halisi ya neno Shikide....???? ilikuwa hakuna wakujibu kwa usahihi zaidi ya Dully lakini mwisho wa siku mchizi naye hafahamu maana ya hilo neno soooo.... amewaachia uhuru raia kutoa maana ya neno hilo kulingana na mazingira husika kwa mfano mimi nitaitafsiri hivi.... 'duh... kweli mpango mzima full shikide' umenisoma au nimekuacha....????
FCC: MPANGO WA KUREKODI ALAMA ZA BIASHARA KUANZA DESEMBA 2025
-
*Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa,
akizungumza wakati akiwasilisha kwa chama cha mawakili cha International
Tra...
16 hours ago

No comments:
Post a Comment
,