Jay aliniambia kwamba tuzo hii aliipata kwa sababu alionyesha ushirikiano na wanafunzi na alifanya show kwa pesa ndogo tofauti na makubaliano soo.. kwa kitendo hicho jamaa waliamuwa kumpa hiyo tuzo.
MSHTAKIWA TUNDU LISU: “KESI HAIJASIKILIZWA, LAKINI TAREHE YA HUKUMU
IMESHAWEKWA!”
-
MSHTAKIWA wa kesi ya uhaini, Tundu Lissu, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo Chadema ameibua hoja mbele ya Mahakama Kuu ya
Tanzani...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,