PLANET BONGO KILA JUMAMOSI SAA NNE ASUBUHI EAST AFRIKA RADIO NA KILA JUMA TANO SAA TATU KAMILI USIKU EATV.
KUWA MAKINI
TULIA NA MMOJA UNAYE MPENDA, ACHA NGONO ZEMBE
POWER JAMS
POWER JAMS,JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 10 ALASIRI EAST AFRICA RADIO.
MATING'A
DEEJAY AD a.k.a MAFUVU.
KUTANA NA DEEJAY AD KWENYE POWER JAM KILA J.3 NA ALHAMISI (1:00 - 4:00 pm), THE CRUISE J5 (8:00-9:00 pm), PLANET BONGO JUMAMOSI (10:00 - 12:00 pm) & FNL. NDANI YA EAST AFRICA RADIO & TV, TING'A KALI NAMBA MOJA KWA VIJANA
...BATA NITE!!!
SAUZ...2010!!!
Thursday, October 15, 2009
MISHE MISHE ZA FAINALI BONGO STAR SEARCH
Muheshmiwanaye ndani ya nyumba katika fainali zaBSSni ZitoKabwembunge waKigoma kaskazini.
Muite Shaaaa...Msanii wa muziki wa bongo flavaalikinukisha mbayaaaakatika fainali zaBSS
Huyu jamaaalikuwa na jukumu moja tu la kuwaburudisha mashabiki waBSS waliohudhuliakatiakafainali zaBSSzilizo fanyika katika ukumbi waDiamondjubilee. Anaitwa AY.
Abubakari mzurinimojakati ya vipaji vilivyo ibuliwa naBSS, Hapa alikuwaback stage akisubilikukisanuwa katika fainali hizo katika ukumbi waDiamond jubilee.
Mkali wa kugiza sauti za viongozi mbalimbali hapa nchini steve nyerere piaalikuwa ni mmoja kati ya wasanii waliokamuwa vilivyo katika fainali zaBSS, Kuna mtu kanusanuwa kuwahuyo wa pembeni yake ni mtalajiwa wake mmh...sijuwi...
Warembo walikuwa wakutosha si unamuona hapo bi shosti Jacline Wolpermsanii wa maigizo bongo ambaye kwa sasa anaumiza kichwa wakongwe katikatasnia hiyo ya movie bongo, Alikuwepo katika fainali zaBSS
Watu wengiwalijitokezakushuhudia fainali zaBSSkatika ukumbiwa Diamond
Chief judgeRita paulsenumakiniasilimia mia...
Mmoja wa ma judge wa shindano laBSSMr. Kitimeakiwa makini kazini..
NI WEWE KAMPENI, MAENEO YA ITUNUNDU PAWAGA JANA
-
Ni Wewe ni kampeni iliyozinduliwa na redio Ebony FM iliyoko Nyanda za juu
kusini, ikiwalenga zaidi wananchi wa vijijini ambao miundo mbinu ya umeme ...
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
No comments:
Post a Comment
,