.

Thursday, October 15, 2009

VIJANA WA ART IN TANZANIA WAPO NG'AMBO.

Mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la Sanaa sana akiwa mzigoni..
Benjamin wa mambo jambo

Wasanii wa bongo flava pamoja na wa ngoma za asili wapo nje ya nchi kwa ajili ya kufanya show zaidi ya moja katika nchi tatu tofauti wasanii hao ni kutoka
ART IN TANZANIA, Hapa namzungumzia Dudu baya, Benjamin wa mambo jambo pamoja na kikundi cha ngoma za asili kinaitwa Sanaa sana.


Jamaa watafanya showa katika nchi za ETHIOPIA, ADDIS ABABA naFINLAND (Helsinki ) na watarudi bongo tarehe 18 november. Show zote hizi zimeandaliwana ART IN TANZANIA.

No comments:

Post a Comment

,