Msanii na mmiliki wa bendi ya B Band Banana Zoro atasepa nchini tarehe 28 ya mwezi huu kwenda MAPUTO kwenye tamasha la ktowa msaada linalofahamika UMOJA CONCERT.. mida mida kidogo nitakufahamisha zaidi.
WACHIMBAJI WADOGO SIMIYU WAMUUNGA MKONO DK.SAMIA
-
MKUU wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatatua kero
mbalimba...
1 hour ago
Am happy 4 u banana, hongera kwa kuwa na band nzuri iliyokamilika. Keep on being gud bwana n wishing u peaceful safari.
ReplyDelete