Brother men, handsome boy, misifa au unaweza kumuita brother shikide almaarufu kwa jina dully sykes ameona sio ishu sasa yupo njiani kuungana na kina Banana, Lady jay dee pamoja na Tid kwa sababu hawa jamaa wana band Dully naye ameamuwa kufanya hivyo muda sio mrefu atakuja na band yake inayoitwa THE BROTHER MAN... haya kila la kheri ndugu yangu...
FCC: MPANGO WA KUREKODI ALAMA ZA BIASHARA KUANZA DESEMBA 2025
-
*Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa,
akizungumza wakati akiwasilisha kwa chama cha mawakili cha International
Tra...
17 hours ago

THE BROTHERMAN??????????//// ASHHH, kweli kakosa washauri, hilo jina halina mvuto hata tone, mshikaji ajaribu kutafuta title nyingine watu hawahitaji wauza sura, kinachohitajika ni sanaa nayo huanzia kwenye jina na mengineyo, nani mwenye heshma zake umwambie twende kwenye THE BROTHERMAN BAND?
ReplyDeleteLook at Machozi Band, The B Band and even Kilimanjaro Band.
I can help u, on either SYKES BAND, STAR BAND, RAINBOW BAND, or even 'D TO THE S BAND'.
Ni ushauri tu, Lkn THE BROTHERMAN! Mmh,mmh!
Unajiita Handsome, kweli bongo watu hawalipi
ReplyDeleteMdau US
tunaomba utuwekee na kaka yako choster umo tumuone maana naye si handsome boy wa ilala. na ni mzuri na mnafanana saaaaana ivi ni nduguyo sijui maana hata hatujui wengine
ReplyDelete